and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Wanajinasibu wanatengeneza ndege watu 500...wazimu mtupu...mwisho machine kukamua mafuta nafaka hakuna jipyaàInakitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China? SIDO mmeshindwa kuunganisha mabatin hayo yawe mobile toilets?bado mtadai nyongeza ya Mshahara?
Nakazia hoja: Halafu wabongo sio wanyaji (wakata gogo)kivile. Ulaji wa Chips mayai, mtu anaweza kushinda hata siku 2 bila kuingia toilet.Hawajaona uhitaji wake, siyo kitu kigumu kwao.
Nakazia hoja: Halafu wabongo sio wanyaji (wakata gogo)kivile. Ulaji wa Chips mayai, mtu anaweza kushinda hata siku 2 bila kuingia toilet.ch
Nakazia hoja: Halafu wabongo sio wanyaji (wakata gogo)kivile. Ulaji wa Chips mayai, mtu anaweza kushinda hata siku 2 bila kuingia toilet.Nakazia hoja: Halafu wabongo sio wanyaji (wakata gogo)kivile. Ulaji wa Chips mayai, mtu anaweza kushinda hata siku 2 bila kuingia toilet.
Hakikapamoja na veta
Wanataka kuunda ndege ya abiria 500Inasikitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China?
SIDO mmeshindwa kuunganisha mabati hayo yawe mobile toilets? bado mtadai nyongeza ya Mshahara Mei Mosi?
Sido na veta ni vyombo visivyo na diraInasikitisha Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza Mobile toilets China?
SIDO mmeshindwa kuunganisha mabati hayo yawe mobile toilets? bado mtadai nyongeza ya Mshahara Mei Mosi?