mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Anatetea ujinga wakibashiteAisee...what is wrong with Diamond?? mbona watu wanamponda hivi
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
ukiangalia mara moja kwenye browser moja au youtube app inahesabu moja hata urudie mata elfu haiongezsasa ulisha iangalia eneka na kila ukienda kufanya comparison unaitazama tena
huku ukiiongezea viewers afu unashangaa tena? kwa mfano mimi hiyo uliyo taja hapo sijui kisela siijui na sijaitazama. ila eneka nimesha icheki zaidi ya maramoja kupitia devices tofauti tofauti
Hahaha! mapya ya karne AiseeeYoutube wana vigezo vingi vya ku determine kama video ina trend au la, views nyingi pekee hazitoshi ku determine hilo
ukisoma vizuri nimesema kupitia device tofaui tofauti lakini.ukiangalia mara moja kwenye browser moja au youtube app inahesabu moja hata urudie mata elfu haiongez
Kisela ndo nyimbo ya nani mkuu?sasa ulisha iangalia eneka na kila ukienda kufanya comparison unaitazama tena
huku ukiiongezea viewers afu unashangaa tena? kwa mfano mimi hiyo uliyo taja hapo sijui kisela siijui na sijaitazama. ila eneka nimesha icheki zaidi ya maramoja kupitia devices tofauti tofauti