malwalubighilis
New Member
- Oct 1, 2007
- 1
- 0
habari wana jamii,
mimi ni binti wa miaka 21 nimekua katika mahusiano ndani ya miaka miwili ila jambo ambalo sielewi kwa huyu mwenzangu ni tabia yake.
Kabla nimewahi kumfumania zaidi ya mara moja kama hiyo haitoshi kanilaza kitanda kimoja na mwanamke,lakini anadai ananipenda mara tu niamuapo kutengana nae tena bila kumwambi kama naachia ngazi kwan nisitishapo mawasiliano yeye huja kwa spidi ya ajabu.naombeni ushauri wenu
Yaani mmuefanya threesome? kweli tunafikia ukingoni.....
Hiyo inaitwa sheer love........ama ni sheer stupidity?😕😡
B afu umri huo umeuona? binti mbichi kabisa na future bado bright unaanza kukubali ushenzi wa tabia "in the name of love"
hamna mapenzi hapo (my opinion wala sihitaji kusulubishwa hapa)
mwenyewe anajindadi kuwa ni 'wakichina zaidi' so naanza kutilia wasi wasi hii hoja yake!
habari wana jamii,
mimi ni binti wa miaka 21 nimekua katika mahusiano ndani ya miaka miwili ila jambo ambalo sielewi kwa huyu mwenzangu ni tabia yake.
kabla nimewahi kumfumania zaidi ya mara moja kama hiyo haitoshi kanilaza kitanda kimoja na mwanamke,lakini anadai ananipenda mara tu niamuapo kutengana nae tena bila kumwambi kama naachia ngazi kwan nisitishapo mawasiliano yeye huja kwa spidi ya ajabu.NAOMBENI USHAURI WENU

miaka 21!!!!!!!!
shule umemaliza, labda anakuona bado mtoto ndo maana anakuchezea akili.
nakushjauri urudi shule, we bado mdogo sana usijione una vichuchu ukadhanai umekuwa mkubwa, zingatia masomo kwanza. achana na mapenzi ...................
........Kwa mliomshambulia kuhusu umri wala sio mtoto huyu,miaka 21 mtu mzima kabisa anajua baya na zuri kwenye mapenzi.