AhahaahSasa wewe ndo unapita maeneo hayo si unashuka unawauliza kwanini hamkamilishi?
Unabeba uchafu kichwani mwako usio na umuhimu kwako mwisho unapata shida ya afya ya akili.
Ulega huwa namuona kama mtu mmoja janja janja, hakuna la maana analolijua kwenye hiyo wizara.Ulega na wizara yake wanafeli.
Na anapwaya.
Shida ni kuanzisha mirad ya Ujenzi mingi kwa pamoja bila ya kuwa na hela ya kuimaliza yote kwa haraka.
Strategic anafeli.
Mfano ww uwe unajenga nyumba alaf ukaanza kuchimba msingi wa nyumba na msingi wa ukuta kuzunguka nyumba na unataka iende sambamba.
Ukikosa hela. Mirad yote itasimama.
Ila ungeweka hela sehem moja. Ungekuta mmoja umeisha na unaanz mwingine.
Hakukuwa na haja ya Sam Nujoma kujengwa sambamba na Mwenge tegeta. Kama unajua utatumia miaka 3 kujenga .
Hela ingeekwa kwanza Sam nujoma. Miez 6 ingetosha kukamilisha. Alaf waamie Mwenge tegeta wakiwa na fungu la kutosha.
Magufuli alijizolea sifa kwenye hii Wizara. Alikuwa smart sana
Ulega naUlega huwa namuona kama mtu mmoja janja janja, hakuna la maana analolijua kwenye hiyo wizara.
Kabisa hawa wajinga wamewekeza kwenye porojo ba sifa za kijinga tuUlega na wizara yake wanafeli.
Na anapwaya.
Shida ni kuanzisha mirad ya Ujenzi mingi kwa pamoja bila ya kuwa na hela ya kuimaliza yote kwa haraka.
Strategic anafeli.
Mfano ww uwe unajenga nyumba alaf ukaanza kuchimba msingi wa nyumba na msingi wa ukuta kuzunguka nyumba na unataka iende sambamba.
Ukikosa hela. Mirad yote itasimama.
Ila ungeweka hela sehem moja. Ungekuta mmoja umeisha na unaanz mwingine.
Hakukuwa na haja ya Sam Nujoma kujengwa sambamba na Mwenge tegeta. Kama unajua utatumia miaka 3 kujenga .
Hela ingeekwa kwanza Sam nujoma. Miez 6 ingetosha kukamilisha. Alaf waamie Mwenge tegeta wakiwa na fungu la kutosha.
Magufuli alijizolea sifa kwenye hii Wizara. Alikuwa smart sana
SeeeDar Yote Tatizo Wamebomoa Barabara Yaani Kila Siku Ujenzi January Mpaka December Hawakamilishi
KKuna Mradi Mmoja Nao Hovyo
kutoka Lusahunga Mpaka Rusumo
KKilometers Zaidi Ya 100 Mkandarasi Kachimbua Barabara Halafu Anajenga Atakavyo
Nchi ya hovyo hiiDar Yote Tatizo Wamebomoa Barabara Yaani Kila Siku Ujenzi January Mpaka December Hawakamilishi
KKuna Mradi Mmoja Nao Hovyo
kutoka Lusahunga Mpaka Rusumo
KKilometers Zaidi Ya 100 Mkandarasi Kachimbua Barabara Halafu Anajenga Atakavyo
Weee ndo hujui lolote Acha ujingaHujui lolote wewe
Angalau Mwigulu naweza kusema nje ya siasa za kijinga ila ana utaalamu wa masuala ya fedha. Huyo mwingine sijui walimtoa wapi.Ulega na
Mwigulu ni hopeless
Wenzio jana walikua tel aviv kwenye parade, vipi naww ulikuwepo?Acha ushamba wa kutaka engagement mtandaoni,
Wizara na Idara husika wanajua,
Engineer's wanajua.
Mamlaka zote wanajua.
Kula tulia,pumzika siyo kila kitu ukiongelee,punguza umuch know