Sielewi kinachojengwa pale Mwenge, kwanini hawamalizi?

Hahaha wenye Nchi waache mambo yao
 
Dar Yote Tatizo Wamebomoa Barabara Yaani Kila Siku Ujenzi January Mpaka December Hawakamilishi
KKuna Mradi Mmoja Nao Hovyo
kutoka Lusahunga Mpaka Rusumo
KKilometers Zaidi Ya 100 Mkandarasi Kachimbua Barabara Halafu Anajenga Atakavyo
Hawa wakina ChoiceVariable Stuxnet barabara kwao huko kijiji kikubwa cha Mbeya inajengwa mwaka wa tano sasa na haina hata dalili za kukamilika
 
Pesa walimalizia kwenye uchaguzi
 
Mambo mazuri hayahitaji haraka. Hata Nyerere Rd kuna muda 2021-24 walisota sana, sasa wana enjoy
Yanahitaji haraka, achaneni ni misemo ya kipumbavu ya Kiswahili ya kwenye khanga.
 
Yanahitaji haraka, achaneni ni misemo ya kipumbavu ya Kiswahili ya kwenye khanga.
Hata kupinga pinga kila kitu cha Serikali bila sababu ni upumbavu kiwango cha dreamliner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…