Sielewi kwa nini Serikali imefanya hv!

Nzuamukende

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Kuanzia tar 04 machi 2013, zaidi ya wanafunzi 1000 waliohitimu kidato cha sita walianza mafunzo ya Jeshi la kujenga taifa. Ni wazo zuri na sina pingamizi nalo hata kidogo.
Mimi ni mmoja wa wadau ambao wamehusika ke sehemu na utaratibu huu kwa sababu dada yangu yuko huko.
Hv ni kweli kwamba serikali ilishndwa kutuma nauli na wanafunzi husika? Kuna maana gani mwanafunzi kuambiwa atafute nauli halafu atarudishiwa akifika kambini? Hv ni kweli kuwa kila mwanafunzi anauwezo huo, ikizingatiwa muda wa kujiandaa uliotolewa ni mdogo? Kibaya zaidi ni kwamba hata Jiografia ya makazi ya wanafunzi. Mwanafunzi anatoka shinyanga anakuja Ruvu, mwingine anatoka Dar anakwenda Kigoma.
Wadau mnisaidie, mkiangalia shule zilizochaguliwa kuanza, ni ukweli usiopingika kuwa sio watu wenye uwezo wa kujiandaa kwa muda mfupi hvyo. Kwa nini seikali ingeweka utaratibu wa kuwagharamia kuanzia mwanzo?
 
Wewe u mgeni Yerusalemu!??

Hahah. Baba V umenchekesha.

Ila next time serikali iliangalie hili. Nauli hizo zitumwe shuleni au basi wakodiwe mabasi from their schools kuelekea kwenye respective kambi walizopangiwa!
 
Last edited by a moderator:
Baba V, mm sio mgeni? Ila inashangaza unavyomwambia mtu atumie nauli yake halafu utamlipa akifika kambini katika dunia hii ya teknoljia juu. Enzi za wazazi wetu hayakufanyika haya.why today?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…