Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,301 Reaction score 8,706 Nov 6, 2017 #1 Ndugu Zangu wapenda soka Naombeni Mnijuze Kwanini Huyu Ronaldo wanamwita Goal Machine? Huu si uongo wa wazi wazi kabisa maana ukiangalia Messi ana Scoring Ratio Kubwa Kuliko CR7 Lionel Messi is just 9 goals behind Cristiano Ronaldo despite having played 100 games less
Ndugu Zangu wapenda soka Naombeni Mnijuze Kwanini Huyu Ronaldo wanamwita Goal Machine? Huu si uongo wa wazi wazi kabisa maana ukiangalia Messi ana Scoring Ratio Kubwa Kuliko CR7 Lionel Messi is just 9 goals behind Cristiano Ronaldo despite having played 100 games less
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,001 Reaction score 6,194 Nov 6, 2017 #2 Ronaldo ni one man army.
Eng Inc JF-Expert Member Joined Feb 3, 2017 Posts 631 Reaction score 944 Nov 6, 2017 #3 Mkuu katika hizo statistics ata siku moja huwezi kubadilisha wapenzi wa Ronaldo wawe kwa Messi and vice versa. Kwa mimi naungana na Neymar kwamba kama ni mguu wa kulia basi ni Ronaldo na kama ni mguu wa kushoto basi ni Messi mengine ni ujinga.
Mkuu katika hizo statistics ata siku moja huwezi kubadilisha wapenzi wa Ronaldo wawe kwa Messi and vice versa. Kwa mimi naungana na Neymar kwamba kama ni mguu wa kulia basi ni Ronaldo na kama ni mguu wa kushoto basi ni Messi mengine ni ujinga.
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,792 Reaction score 3,075 Nov 7, 2017 #4 Sumu said: Ronaldo ni one man army. Click to expand... Unamaana huwa anacheza peke yake uwanjani dhidi ya timu pinzani ya watu 11?
Sumu said: Ronaldo ni one man army. Click to expand... Unamaana huwa anacheza peke yake uwanjani dhidi ya timu pinzani ya watu 11?
Marlex Jr El JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,819 Reaction score 2,415 Nov 7, 2017 #5 Poor penaldo
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Nov 7, 2017 #6 Messi ni Master
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 Nov 8, 2017 #7 Professor haelezeki
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Nov 9, 2017 #8 Bora yeye kacheza ligi tofaut