Sielewi kwanini Yanga inasajili kwa gharama na bado inaendelea kujiongezea gharama kwenye mechi

Sielewi kwanini Yanga inasajili kwa gharama na bado inaendelea kujiongezea gharama kwenye mechi

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Kwa mujibu wa Takwimu kuna waamuzi & ambao walichezesha Mechi ambazo Yanga walicheza na Timu kadhaa na Matokeo yalikuwa ni yenye Utata.

kwa wanaofaham mpira. hakuna usajili mtu anaoweza ufanya mzuri sana kama kusajili waamuzi. una gharama yake ingawa huwa si kubwa sana kama kusajili wachezaji wengine. uhakika wa kushinda ikiwa mwamuzi wa mechi hiyo anachezea team yenu ni mkubwa sana.

Yanga imeakuwa ikisemekana kusajili waamuzi au kufanya usajili maalum wa baadhi ya wachezaji wa team pinzani siku hiyo ya mechi. na matokeo yake yamekuwa yakionekana.nachojiuliza why wafanye usajili wa kulipa wachezaji wengine mapesa mengi wakati wangeweza kufanya usajili ule ule wa siku zote wa marefarii na wachezaji wa team pinzani?

Yanga yawatingisha waamuzi 7 wa Malinzi - Soka
 
Hamieni ligi ya Zanzibar, sasa mnashiriki nini na wakati mnajua Yanga ananunua waamuzi.
 
Komaeni mumchape Lambalamba maana tofautu na hapo baba mwenye j2 akikamata mjengo ndio basi tena na lazima mpigane.
 
Sakata la kadi nyekundu ya Lufunga leishia wapi?
 
Kweli wahamie Zanzibar washajua Yanga kesho anarudi kwenye nafasi yake wameshaanza kutafuta visingizio.
 
Back
Top Bottom