Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti.
Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi.
Kwa mfano:
Airtel unakuta 1500 unapata 1gb
Ila wana kifurushi cha 8gb kwa 15000, ikiwa ina maana 1gb wanakuuzia Tshs 1875.
Na hii ninaiona kwa mitandao almost yote.
Unavyonunua kifurushi kikubwa wanakuchaji zaidi.
Hii model yao inanishangaza