Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Aisee mpaka leo sielewi ni kwanini makamu anashindwa kuaminiwa. Yaani pamoja na jitihada zote anazozionesha kupambana huku na kule, lkn bado anaonekana ni "nothing", hana point yoyote ya kuaminiwa kupewa uongozi aongoze.
Leo hii ukitoa wazo kwamba mwenyekiti maji ya shingo hivyo akae pembeni, ili ampishe mtu mungine wa kuleta mikiki mikiki na kukirudisha chama katika midomo na akili za watanzania utasikia "ooh mnataka mwenyekiti wetu atoke ili muweke pandikizi lenu".
Kwa kauli hizi, bila shaka makamu na wengine wote waliopo ndani ya chama wanaonekana kuwa wanaweza kuwa mapandikizi chamani, hivyo wakipewa uongozi badala ya kukifufua chama wao ndio watakizika kabisa. Sasa kutokuaminiwa huku kwa makamu na viongozi wengine wa chama kutaendelea mpaka lini.
Ebu angalia sasa hivi makamu hayupo, na chama ni kama vile hakipo. Mpaka siku akirudi tena kuleta mikiki mikiki ndo chama kitaanza tena kutrend ndani ya masikio ya Watanzania.
Sema makamu mjanja, naona michango aliyokuwa anakusanya katika mikutano yake sio haba.
Imemsaidia kupata hela za kuwalipia watoto wake ada za shule huko Ulaya, plus bado atabaki na vichenji vya kula bata na familia yake angalau kwa wiki au miezi kadhaa, hadi zitapoisha ndo tutamuona anarudi kuanzisha drama na serikali ili aingie tena mikoani kufanya mikutano na kukusanya michango mingine.