frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
mbona kwenye tovut yao hakuna habar kama hyo nyie mnatoa wapi?
1.Jielewe
2.Jitambue
3.Jiamini
Elimu kwanza ukakamavu baadae
mimi cjaenda na jina langu halipo ktk kambi zote.nimecheki.Wananiogopa au?
mimi cjaenda na jina langu halipo ktk kambi zote.nimecheki.Wananiogopa au?
Acha ubishi kijana ingia KWENDA BULOMBORA now
hizi tabia za uropokaji mtakuja mfanyiwe vitu vya kudhalilisha utu wenu:bathbaby:Tetesi zinasema vyuo vyote kwa mwaka wa kwanza vinahailishwa hadi mwezi january kupisha zoezi zima la jkt awamu ya tatu