SIELEWI....niende jeshini au niende chuoni

Daaaaaaaaa kweli hii ni Tanzania yani kila ki2 kinamwingilia mwenzake..............
 
Hivi mnaleta mchezo na waziri wa ulinzi,nahodha vuai! Ebu jaribu kumuulizia akisema amesema .so jkt kama kenyela
 
Dah! Kwel hii iwashinda kuongoza yaan bora iuzwe huku chuo ,huku jesh .tutafanyaje wazee
 
ipo hyo ila wanalabdsha koz wamechukua A had J. sasa hk ndo nn? kamchezo ka kuwasha na kuzma taa.
 
Tanzania na viongoz mbumbumbu, wanasitisha na kuruhusu tena, Rais analitambua hilo, nimeona kama yupo kwa Obama vile
 
'ELIMU KWANZA UKAKAMAVU BAADAE' jkt ipo tu itusubiri tumalizi chuo tutaenda tu.......
 
awamu ya tatu yenyewe si tulikuwa tunasema impossible juzi.... ha hahahahahhah..

Kwa hali hiyo kumbe chuo ni kama kawaida oct na JKT tar 28 kama kawa.Tukumbuke walichofanywa watu wa diploma,maafande waliwakomalia huko wakawakataza kuripoti vyuoni hadi mafunzo yaishe.Yale majamaa ya jeshi hayaangalii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…