Johnsecond
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 1,076
- 211
maana mtu kwenye mkutano tu umeshajua yuko HOT!!
yaelekea ww ni walewale sketi isipite mbele yake wataka kuona imepindiwa uzi wa rangi gani halafu unajiita mtu wa msimamo ! kwanza nikuulize una msimao upi wakuangalia sketi gani imekupitia au.....
...nashukuru mkuu. Lakini mi naheshimu kile mtu atakachoamua, kwani kama yeye angepata bwana akaenda ni jambo limetokea siwezi kubadili matokeo kwani maisha yanatakiwa kuendelea. any way thanks nitachanga karata ninavyojua ila sina lengo la kumuumiza mtu!Mkuu,,,angekuwa ni huyo mpenzi wako amepata bwana akataka kukuacha bila sababu WEWE UNGEJISIKIAJE, Kumbuka unachotaka kukifanya ni uuwaji,,, na malipo yake ni hapa hapa duniani,,,, wewe umeshampotezea mtoto wa watu muda sasa unataka kumwacha bila sababu ya msingi,,,angekuwa ni dada yako au ndugu yako amefanyiwa kama unavyotaka kufanya utajisikiaje,,,, kumbuka hapo umeenda Arusha ukampata huyo bado hujaenda Mwanza, Dodoma wapo wengi tu na inaelekea utawapenda na huyo wa Arusha utamwaona si kitu kwako
Mkuu acha hicho kitu unachotaka kukifanya kitakugarimu maisha yako yote,, na ni vema tukawaheshimu hawa dada zetu
SAJENTIIIIIII................Unataka kufanya kosa kubwa sana katika maisha yako na utalijutia milele! Take my words! Mchumbie mchumba wako haraka iwezekanavyo na usisubiri mambo ya July 24. Hayo ni majaribu tu, na huyo binti mpya ana kasi sana na ndicho kinachotia shaka. Pia wakati wa kufanya maamuzi mazito kama kuoa au kuolewa, watu hukumbwa na vishawishi vingi ambavyo wala huwa hawakuvitegemea na wala hata hujui vimetoka wapi.
Kama una sikio la kusikia na unisikie sasa.....BETTER THE DEVIL YOU KNOW THAN AN ANGEL YOU DON'T KNOW!
..Thanks bht, lets agree 2 disagree!!
na ya kiroho pia...Ukaangalie afya yako pia
...Mkuu kituko nakubaliana na wewe. Umeongea mambo makubwa mawili yenye msingi sana. Nasikitika kuna baadhi ya wanaJF humu wamekuwa wepesi wa kuhukumu. Laiti ningekuwa na uwezo wa kusoma upande wa pili maisha yao nina imani ningeonekana bora maradufu..any way dunia ni watu na watu wenyewe ndio hawa hawa...Twende kazi.Mke mwema mtu hupewa na Bwana, hapo kujudge ni ngumu sana, wewe sio wakwanza kufanya hayo mambo kuna watu wanafikia mpaka stage ya uchumba na ndoa inashindikana, JARIBU KUWA NEUTRAL, NA KUFANYA ANALYSIS ZISIZOKUWA BIASED KWA UPANDE WOWOTE NA KISHA FATA MOYO WAKO KATIKA HAKI NA UKWELI, UWEZI KUOA KWA SABABU UMEISHI NA MTU MUDA MREFU NA PIA HUWEZI KUOA KWA SABBABU MWANAMKE ANA AKILI YA MAENDELEO NA ATAKUSOMESHEA MTOTO