1.umekutana na mjanja,jasho litakutoka.
2.yaani huyo bibie ninavyoona unaweza kumsindikiza hata guest akamegwa wewe unasubiri nje pasipokujijua.
3.Nahisi uwepo wa pepo hapo.........maombi yana hitajika.
4.Samahani,lakini mzee kwa staili hii una safari ndefu sana ya kutafuta MWENZA.
5.Uliekaa nae angalau kwa mwaka na nusu kama mchumba huyo NDIE.
6.wasichana wazuri na warembo hawaishi kwa taarifa yako na wengine hata kuzaliwa bado.
7.Sasa? je ungeenda maeneo ya mbulu,babati,mto wa Mbu je?ha ha ha ha ha,USINGERUDI dar.
8.Eti nini?umkaribishe DAR,naona una hamu ya kuishi na pepo,utachunwa ngozi.
9.Akili yangu inaniambia kuna kitu umelishwa wakati fulani mkiwa wote pale Arusha,kumbuka vizuri,eeeeeh unakumbuka eeh,YES.nguvu za GIZA
10.Usipende sana DEZO hasa toka kwa akina mama,kwanini akusomeshee mwanao? we hushangai?
hata hivyo ndugu yangu,hayo ni mawazo yangu binafsi, TUSAMEHEANE KAMA NAKUKWAZA si unajua tena? dawa(ushauri) zingine chungu
kuzimeza lakini ni single DOZE unapona.Hapa nimekuandikia drip ya kwinini naona homa yako kali sana,MARALIA 8.MWELEZE MCHUMBA WAKO UNAETAKA KUMWACHA AKUKOLOGEE UJI UNYWE DAWA IFANYE KAZI VIZURI. UMENIELEWA?