Sifa 10 za Mafisadi ambazo wasingependa ujue

Mafisadi wachoyo sana licha ya kuwa wabahili lakini wao wanapata zaidi
 

safi!!!!!!!!

 
LOL haijasemwa hawajijui au hawajulikani; tatizo ni kuwa hawawezi kujitaja.
lakini this is HUMAN NATURE!....sitegemei binadamu wa kawaida kufanya all the WICKEDNESS mwisho wa siku akajitaja!

ingawa UKIMYA WAO UNAPIGA KELELE/SAUTI KUU!amini msiamini ukimya wa BEN UNAPIGA KELELE KUU VICHWANI MWA GREAT THINKERS
 
Hongera kwa post yako mpya kwenye thread hii ya mjadala mkali.
Next time jitahidi kuweka neno sahihi mahala husika....

Mkuu Mwanakijiji kula tnahx kwa bandiko lako makini.
Mafisadi wanaweza kuwa baba zetu, watoto wetu, wake zetu hata wenza wetu ilhali nasi twapiga vita ufisadi huku tukila baadhi ya bites zitokanazo na ufisadi....
 
Mafisadi ndio wafilisi wakubwa wa uchumi wa nchi hii
 

Du!!!!!!!!! sometimes I wonder if viongozi wa dini si mafisadi.
 
Mi nimeipenda na nakubaliana na sifa na 1 ya kuwa fisadi ni jamaa zteu na pengine ni sisi wenyewe, so there is no need of piga kelele hata askofu wa songea kasema kelele hazitoshi wala hazitabadilisha kitu. kweli kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
 
01: Mafisadi ni wenzetu na jamaa zetu; wakati mwingine ni SISI WENYEWE!

kweli, ingawa wengi wetu tumeamua kuinyamazia hii, ni kweli kabisa!

mafisadi ni wenzetu, ndugu zetu, jamaa zetu (tena huwa tunapigiana stori jinsi jamaa alivyowini siku hizi maana ofisini kwao kuna madili kibao)

Wakati mwingine mafisadi ni sisi wenyewe (ni opportunity tu, huwa tunaombea kuwa kwenye hizo ofisi zenye madili tuwe tunayapiga sisi) na ndio maana wapinga ufisadi hawadumu, kwani mafisadi wanajua dawa yao ni kuwaingiza kwenye dhambi ya ufisadi wananyamaza!
 
Nimemsema Mbunge mmoja analalamika kuwa mafisadi wanaingialia jimbo "lake".. kana kwamba alitegemea mafisadi watakuwa waungwana na wenye heshima kwake. Mbunge huyo amefikia mahali pa kudai kuwa mbona yeye hajawashambulia mafisadi kwanini wamfuatefuate.. hajui kwamba hiyo ni sababu tosha kwa mafisadi kumfuata kwani wao hawana mwiko!
 
mbona mmoja wao msemaji mkuu wa familia yake ni ASKOFU?unless,you tell me otherwise kwamba:
-dini ya yule askofu SIO DINI
-au uniambie yeye si FISADI
Kwani askofu hawezi kuwa fisadi? Hawa jamaa wakati wa nuru wanajitahidi kuishuhudia dunia juu ya dini zao. Usiku ukifika ni watu tofauti wenye imani tofauti wasioweza kuthubutu kutaja imani wanayoizungumzia wakati wa nuru. Kwa bahati mbaya mtego wao wamenaswa wengi ikiwem o makasisi katika mavazi yao ya ibada. Jaribu ku google Archbishop Paul Marcinkus uone how some of the church holy men are corruptible to no asny reference.
 
Mafisadi wachoyo sana licha ya kuwa wabahili lakini wao wanapata zaidi


nadhani hilo nalo ni kweli sana; mafisadi ni wachoyo sana kwani hawako tayari mwingine apate isipokuwa yule anayewahakikishia kuwa wao wanapata zaidi.
 

Hii nimependa-eti yeye hasumbui mafisadi sasa kwa nini yeye anasumbuliwa na mafisadi.

Hoja yake ni hoja ya kifisadi-anaona uchafu na anaamua kukaakimya ili yeye apete.
 

11. Mafisadi wanapenda pesa zaidi kuliko hata familia zao na anaabudu pesa tu na ni watu wa
shetani.
 

- Mkulu mwenzangu kwenye dini yangu hizi ndio hasa sifa muhimu za shetani, tupo pamoja sana kwa jina lingine huitwa yaani lucifer angel of light!

Respect.


FMEs!
 
MAFISADI Wana DINI na ni WANASIASA sema implementation ndo sifuri.
Ni Wakaidi wa imani zao na sera za vyama vyao.
Mfano, Bilioni ni vijisenti, nguo kufuliwa London, Kuagiza bidhaa kwa kukwepa ushuru kwa jina la dhehebu ktk maghala yao ya Kurasini DSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…