Panaless The Great
Member
- Feb 13, 2013
- 46
- 27
Ushirikiano upo lakini asikuweke madarakaniPanaless The Great,
Hakuna aliyewahi au nchi iliyowahi shirikiana na mabeberu ikawa fukara.ukitaka kuwa masikini kaa na masikini.
Hata akikuweka umasikini utakuwa historyUshirikiano upo lakini asikuweke madarakani
Hata akikuweka umasikini utakuwa history
Hawawezi tengeneza viwanda kwenye Sera za kijamaa ni kurisk mtaji.Kwa vile atakukoromea mara ukubali ushoga mara usifanye kile haya ndo yataondoa umasikini?
Anakupa vimisaada vya shuli ma vyoo badala ya kutengeneza viwanda ili upate ajira?