Chamlile A
Member
- Feb 19, 2015
- 8
- 1
Ndugu WanaJamiiForums,
Nnaombeni msaada kwa anae jua sifa za kujiunga na form five na six kwa matokeo ya mwaka huu ya BRN big result now maana yananichanganya.
Wadau kwa anae jua naomba ufafanuzi.