Sifa ya kujiunga na A' level(serikalini au binafsi) ni kua 3 credits. Credit ni alama angalau C, kama ilivyotajwa kwenye muongozo wa NECTA.
Kutokana na idadi kubwa ya vijana wa BRN kufaulu,wapo wataokosa nafasi za kuchaguliwa kujiunga na shule za serikali. Wenye poits nyingi kwenye mchepua husika ndio wataochaguliwa kwanza, wengine mtafuata kwa utaratibu huo huo.
Ushauri: kama unajua una C zako 3 tu, wewe anza kutafuta private school.