Habari za leo tena wanajukwaa?
Kutokana na malalamiko mengi ya ubovu wa elimu Tanzania je ni kweli elimu ya tanzania haikidhi mahitaji? Na ni zipi sifa za elimu bora? Je hizo sifa hazipatikani Tanzania? Vipi kuhusu juhudi znazoendelea kufanyika, BRN kuna matunda yoyote ya kauli mbiu hii? Nini kifanyike kuboresha elimu ya tanzania ? Nawasilisha