Sifa hizi za kocha mpya wa klabu ya Simba, zina msaada wowote kwa timu?

Nawaandikieli

Member
Joined
Aug 20, 2021
Posts
9
Reaction score
2
Imekuwa kila kukicha tunaelezwa uzoefu wa mwalimu mpya wa klabu ya Simba kwamba ametokea katika kufundisha timu kubwa na kwamba anafahamiana na walimu wengi na wakubwa katika mataifa ya nje. Swali langu ni je; sifa na umaarufu wa mwalimu huyo unamchango gani kwa klabu ya Simba?

 
Simba wamezoea na wachambuzi uchwara kama kina shaffii,Edgar nk.
Watamsifia kocha mpaka mtaamini kuwa sasa simba itachukua caf champions cup.

Wanajifanya wanujua mpira kuliko mpira wenyewe unavyojijua.
Wanaishi kiujanja ujanja sana

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
kuchukua kocha mzuri na kupata mafanikio ni vitu viwili tofauti. kocha ni mzuri ndiyo na ndio maana anasifiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kimsingi manufaa ya nje ya uwanja yapo mengi tu ,hata wewe leo hii ukiwa na connection na watu wakubwa tunaamini lazima utafaidika nao ila kikubwa ni uzoefu alioupata kutoka kwenye vilabu vikubwa alivyowahi kufanya navyo kazi ndio jambo la msingi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha wa utopolo hata hapo Burundi hajulikani🤣🤣
 
Ubaya wa Makocha hawa wenye CV kubwa ukimzingua kidogo na huu uswahili wetu anawatema dakika 0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…