Sifa humfanya mwema, mwema zaidi na humfanya mbaya, mbaya zaidi

Sifa humfanya mwema, mwema zaidi na humfanya mbaya, mbaya zaidi

waungwanaTz

Member
Joined
Aug 6, 2024
Posts
11
Reaction score
9
NUKTA
Licha ya kuonywa mara kadhaa,
Chuwa hakuwa msikivu.
Aliendelea na tabia zake,japo alifahamu kuwa tabia hizo,zinamuumiza sana mkewe.
Siku moja,
Chuwa alifanya yake tena.
Aliporudi nyumbani,mkewe hakumsemesha.
Alimuandalia chakula kisha akaondoka zake.
Wakati mkewe anaondoka,
macho ya Chuwa yakavutwa na maneno yaliyoandikwa kwenye kanga ya mkewe.
Maneno hayo yalisomeka hivii
“ Kheri ya ujane mwema kuliko ndoa mbaya”
Maneno hayo yalimfanya chuwa akose amani,
Hakuweza tena kula wala kulala.
Alikesha akiwaza nia ya mkewe.
Kadri alivyozidi kuwaza ndivyo alizidi....
Tuendeleee...

 

Attachments

  • NUKTA.mp4
    11.3 MB
Back
Top Bottom