Sifa mojawapo...awe kada wa chama tawala(sidhani kama hiyo sifa imeshatolewa)...mengine ni taaluma zaidi....wenye nayo wayamwage hapa tujifunze!!
Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kinahitaji Mkuu wa Chuo baada ya aliyekuwepo kumaliza muda wake 05/01/2012. Sheria inaruhusu Mkuu wa Chuo aliyemaliza muda wake kuteuliwa tena ingawa ameomba tena hata hivyo amekuwa akiumwa mara kwa mara. Kwa wadau mnaoifahamu Chuo hicho kinahitaji Mkuu wa Chuo mwenye sifa zipi? Ushauri wenu utasaidia mamlaka ya uteuzi kuzingatia hoja zenu.
Sifa mojawapo ni Ukada wa Chama Tawala tangu CCM Kivukoni.kwani aliyepo aliajiriwa kwa vigezo vipi?
Sifa mojawapo...awe kada wa chama tawala(sidhani kama hiyo sifa imeshatolewa)...mengine ni taaluma zaidi....wenye nayo wayamwage hapa tujifunze!!