Uchaguzi 2020 Sifa Kuu Tano (5) za Bernard Kamillius Membe Zinazoonesha kwamba hafai kuwa Rais wa Nchi

Faragha inatambulika kikatiba, point ya kwanza umekufa tayari.
 
Unaposema muda wa kuungana vyama umekwisha na ni miezi mitatu kabla ya uchaguzi unamaanisha uchaguzi mwaka huu ni October mwanzoni? Maana kama ni tarehe 25 bado tuna siku takriban 112 ambazo ni miezi 3 na wiki 3
 
Soma vizuri ufafanuzi wa Maana ya UCHAGUZI. Uchaguzi si tukio la siku moja, ni mchakato wa miezi mingi tu. Miaka mingine huenda mpaka almost miezi 6. Tarehe 25 October ni siku ya kupiga kura.
 
Tumshauri Rais ktk mambo ya uchumi hoja ya kumjadili MTU binafsi tuwaachie watu levo ya chini(Bernard Member)
 
Tumshauri Rais ktk mambo ya uchumi hoja ya kumjadili MTU binafsi tuwaachie watu levo ya chini(Bernard Member)

Kuwajadili watia nia/wagombea hakukwepeki katika kipindi hiki. Rais huyo pia anajadiliwa kama anafaa kurudi au la.
 
Mkuu Membe anajua sana kuwa nafasi ya yeye kuwa Rais ishaota mbawa tangu 2015. Sasa atakachofanya ni ku-distabilize tu kujitahidi kuchochea distabization ya mfumo, kitu ambacho hataweza pia. Miaka mitano iliyopita imekuwa ni Lesson Learnt.

Ningekuwa yeye ningepumzika, ili nitunze heshima kiduchu niliyonayo.
 
Unaposema muda wa kuungana vyama umekwisha na ni miezi mitatu kabla ya uchaguzi unamaanisha uchaguzi mwaka huu ni October mwanzoni? Maana kama ni tarehe 25 bado tuna siku takriban 112 ambazo ni miezi 3 na wiki 3
Tume ya Uchaguzi haijatangaza siku ya uchaguzi.
Mbona watu wanashabikia kubanwa?Ipo siku tutaijutia.
 
Do not underestimate "James Bond" Membe.
Kasema kutoka sasa had October chochote chaweza kutokea. OCTOBER bado ,wala haja salimu amri.Labda ana secret weapon?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…