Uchaguzi 2020 Sifa Kuu Tano (5) za Bernard Kamillius Membe Zinazoonesha kwamba hafai kuwa Rais wa Nchi


Anataka kugawa kura za TAL.
 

Mtamalizana wenyewe sisi watanzania hayatuhusu mambo ya ccm
 
Badilisha jina la muhusika kwenye uzi wako.
Maana sifa ulizotaja hapo naona ndio za jiwe mwenye!!
 

Halafu unaambiwa ni muongo balaa katika ngazi ya familia na ndugu zake wa karibu.Anawaahidi
mambo ambayo hatekelezi hata moja.
 
Mara niguse ninuke. Nachukua form J3. Lolote linaweza kutokea June na October.

Leo ndo tupo hapa
 
Hivi hawa wagombea hata akili hawatumii; si dhani kama kuna wa kushindana na Mzee Magu
 
6 July 2020
Lindi, Tanzania

MEMBE baada ya kurudisha kadi ya CCM/tutajiunga na chama tutagombea uongozi wa juu tutashinda
Bernard Carmillus Membe akiwa kijijini kwake Rondo mkoani Lindi kusini mwa Tanzania aongea mazito baada ya kuiacha CCM kwa kurudisha kadi ya uanachama.

Alihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania kwa miaka 10. Pia alipata kuwa mbunge wa CCM jimbo la Mtama mkoani Lindi. Alihudumu kama afisa mwambata wa ubalozi wa Tanzania kwa miaka 10 huko Canada ktk bara la Marekani ya Kaskazini. Pia alipata kuwa Afisa Mchambuzi wa ripoti ktk Kurugenzi ya Usalama na Intelejensia wa Taifa TISS katika Ofisi ya Rais.

Hali ya kisiasa mikoa ya Lindi na Mtwara na kwingineko Tanzania kwa ujumla inaonesha waTanzania wapo tayari kwenda na Bernard Membe ili kuweza kuweka sawa masuala ya kama kilimo, uvuvi, mifugo, gesi na Maendeleo ya Watu.
Source : Gilly Bonny Online TV
 
6. Akitoa ahadi hatimizi Huyu mtu. Mjivuni sanaaaaaa
 
HIZO NI SIFA ZA WANAFISIEMU WOTE...
 
Tundu lissu ni anaweza kuwa raisi wawatu.
Ila sio mwaka huu ni wa magufuli .
Naogopa kama tutampata raisi kama magu.
Magu hapendi kushushwa au kudharauliwa , kuonewa .
Sasa ndio maana nianachukua hatua ukivuka mpaka sidhani tutapata mtu kama huyu anakupa namba yake.
Anatatua shida za wanyonge hii ni kali sana amazing.
 
HIZO NI SIFA ZA WANAFISIEMU WOTE...
Sio Magu punguza uongoo uwe hata ukweli kidogo.
Maishani mwako raisi yupi anakupa namba yake,anachangisha pesa, anapoteza muda kukusikiliza mtu mchafu , au wamama wajane sema tu comment hapa uache unafiki.
Dar es salaamu nani aliwahi kukupa usafiri wa uma sio wa treni ,meli,mabasi , si watu walikuwa wanachelewa kazini kisa no magari.
Foleni kisa barabara chache.
Acheni unafiki magufuli baba utashindaa kwenda zao hao ambao hawakutambui.
 

Umejaza sababu nyingi tu; sababu ipo moja tu kuwa huyu ni wakuogopa kama ukoma.

 
Jamani hii kukosa unyenyekevu msiiseme kabisa!
Hakuna mtu asie na unyenyekevu nchi hii kama Magufuzi!
 
Tume ya Uchaguzi haijatangaza siku ya uchaguzi.
Mbona watu wanashabikia kubanwa?Ipo siku tutaijutia.
Uchaguzi unafanywa tarehe yoyote ila itakuwa jumapil ya mwsho wa Mwez October ndio utaratibu kwa Tanzania yetu
 
Hizo sifa zote na zaidi anazo top manyota wenu wa L7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…