Nilishasikia sana hizi sifa za wanyakyusa,,, nina bahati mbaya sana sijawahi hata kutongozwa na hio kabila.
Hawa watu ni wakarimu machoni/ mbele za watu
ila mioyo yao haipo hivo wana roho mbaya sana na hutumia dini kama mwamvuli.
Nini shida?Daaaaahhh!!!!!
Hata chui akionewa, basi atetewe.
Kuchuna ngozi sio sifa ya Wanyakyusa.
Kwa ujumla wanyakyusa si makatili...ni Wakarimu sana.
Wanaochuna ngozi ni kabila kutoka Wilaya ya Mbozi, wanaitwa Wanyiha, a.k.a akina "Tumgoje...Tumleshe"
kwani mbozi wapo watu wa kabila gani?Nakata rufaa naomba heshima SIREDI irudi mahali pake hapa tulikuwa tunaongelea wanyakyusa sasa WANYIHA WAMEINGIAJE HUMU NDANI? sidhani kama uchokozi na uchongezi ni tabianzuri PJ wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????????????????????
Hata chui akionewa, basi atetewe.
Kuchuna ngozi sio sifa ya Wanyakyusa.
Kwa ujumla wanyakyusa si makatili...ni Wakarimu sana.
Wanaochuna ngozi ni kabila kutoka Wilaya ya Mbozi, wanaitwa Wanyiha, a.k.a akina "Tumgoje...Tumleshe"
Na wewe ni kabila gani?
Mimi ni musukuma.......
Mwaikambo na Amon Nsekela ni wanyakyusa wa wapi?Hiyo ya kupenda sifa inaonekana imegusa wengi, lakini ni tabia ya binadamu ya asili kupenda kukubalika. Labda kama wanyakyusa hawajaificha kama wengine wanaojifanya wanachukulia poa lakini moyoni wanataka sifa
Wanyakyusa wa kyela wanaongoza kwa dharau na uhuni
Mwadila mayo
hauna mdogo wako wa kiume ambaye yupo yupo kwanza.......hii sifa adimu hii........
jaman mbona mnakuwa wagumu kuelewa, hiyo ni article inaelezea sifa za wanyakyusa na source nimeiweka na uzuri Wikipedia wanaruhusu maoni ya kuedit. Inawezekana zilizoandikwa ni za wanyakyusa wa zamani mi sijui au ndo za miaka yote mi cjui na sijatia neno ni hivyo hivyo ilivoandikwa.