kidochi og
Member
- May 27, 2020
- 45
- 74
Watanzania tuna tabia ya kutoa sifa mtu akishafariki. Sasa leo hii nakupa hongera mond kwa mambo mengi ulioyafanya:
1. Kuitangaza lugha ya kiswahili kupitia nyimbo zako.
2. Kuleta tuzo za kimataifa bongo
3. Kufungua milango nje ya nchi kwa wasanii wengine. Before wasanii walikuwa wanaogopa kufanya kazi nje
4. Kuinua vipaji na kuwabadurishia maisha wasanii.kama konde alikua mavi tu Sasa hivi anavimba tu
5. Ku create ajira kwa watu wengi sasa hivi kupitia mondi no zaidi ya maelfu Wana hudumia familia
6. Sifa zipo nyingi mno nitamaliza saver za JF.
Hongera Diamond Platnumz kwanza una akili nyingi pamoja na hela nyingi ulizo nazo lakini huna dharau unaishi kama mgangufu