Sifa nyingine ya Augustine Mahiga: Yeye ndiye "Shahidi Y" kwenye kesi ya Uhaini ya mwaka 1982/83

Mkuu Joka Kuu umenikumbusha mbali!

Tulikuwa tunaishi Drive In Estate, mafleti next to Banyikwas, nyumba zimeungana na kutenganushwa na ukuta. Mzee wa Kihangaza, mke Mhangaza, alikuwa na mabinti 4 bomba sana!, Hope, Daines, Betty na Ngola na kaka yao mmoja Mzomu. Hapo ndipo vikao vilipo fanyikia!.

Kesi hiyo ilikuwa na similarities nyingi na Kesi ya Mauaji Mwanza, Mzee wangu, Andrew Mayalla ndio alikuwa RSO wa Mwanza, Jaji alikuwa Nassor Mzavas, DPP alikuwa William Sekule, Mzee wangu alitetewa na wakili Murtaza Lakha, ndie pekee alichomoka, wengine wote walikula mvua nyingi!.

Murtaza Lakha alinifanya nitamani kuwa wakili, by then ukikosa 1st class forget law, ndio nika-opt journalism, he was the best na mpaka sasa bado sijaona wakili yoyote Tanzania aliye vaa viatu vyake!.
P
 
Katka kesi ile William sekule alikuwa ni DPP mawakili Wa serikali ni
 
Mmh! Kwenye thread nyingine humu imesema eti Mwandishi Mnenge Suluja aliandika kuwa Dk. Mahiga alitambulishwa kama "Shahidi X". Ebu tuwaulize, MNA uhakika au mnapiga ramli?
Discreoancy ndogo isitutoe kwenye reli. Angalia the big picture kama ma great thinker wa JF wanavyofanya
 
Hivi huyu wakili alipotelea wapi? Kwani aliibuka ghafula na kupata umaarufu mkubwa sana katika kesi hiyo na baada ya kesi sidhani kama aliendelea kusikika na kwa wakati ambapo uhuru wa vyombo vya habari haukuwepo, huyu wakili alitisha kweli, mpaka magazeti ya uhuru na mzalendo wakawa hawana jinsi ya kukwepa zaidi ya kuandika makali yake kwa jinsi alivyokuwa anawapelekesha mashahidi wa upande wa jamhuri.
 
Mkuu, pia nilishasoma mahali , nadhani ni humuhumu JF kuwa Wakili Lakha alianza kazi kama karani wa mahakama baadaye akajiendeleza na shule ya mambo ya sheria.
 
Mayalla kama ulikuwa unapendelea kufuatilia kesi unikumbushe kesi ya MTU mmoja anaitwa
(1) Thomas Nzangira alikamatwa kwa kesi ya uhaini kama sio ujasusi nimesahau
(2) dereva taxi muhando aliyewachomekea kesi kina maghee alikuwa anapaki taxi yake Kilimanjaro hotel
 
Kuna Mentor wangu katika haya mambo ya kisheria alikuwa anamwita Larkha " the great" , basi jamaa alikuwa mkali.
 
Murtaza Lakha alitimkia UK baada ya kuandamwa na tuhuma za tax avoidance. Alifariki dunia mwaka 2010 huko huko Uiengereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…