lake Ngonsi
Member
- Dec 18, 2022
- 13
- 48
Kwanini Ndege Bundi anatafisiriwa kiuchawi?
Nahis bundi ana faida nyingi sana...na ndio maana baadhi ya mashirika yanatumia kama nembo yao.....
Baadhi ya Sifa za bundi..
Bundi ana uwezo mkubwa wa kunusa Mnyama anayekaribia kufa, ana uwezo wa kuona karibu mara nane ya uwezo wa Binadamu, anauwezo wa kuruka bila kumsikia, anaona usiku na mchana (japo mchana Kwa tabu kidogo), anaweza kuvumilia dhoruba(anaweza kukaa muda mrefu sehem ambayo anapigwa mawe), n.k.
Sasa Kwa huo uwezo wake aliopewa na Mungu, kwanini Binadamu wamemtafiri kiuchawi zaidi? Kwanini tusichukue hizo faida na kuzitafisiri positively (Mfano, ikiwa Binadamu ameanza kufa(kufa cell) huwa bundi anaweza kusogea ikatafisirika kwamba tuanze kuandaa mazishi au kama mlikuwa na mpango wa kumsafirisha basi mhairishe ili kuokoa Gharama?)
Pia tujiulize hayo mashirika yanayotumia nembo ya Bundi yenyewe yameona nini?
Bill John Mansozi