ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
1. Team nyingi shiriki zinatoka nchi ndogo kisoka kama Chad, Somalia, Sudan,Sheli Sheli
2. Hakuna sheria za offside, mchezaji akizidi haina tatizo
3. Ni mashindano mara nyingi yanafautiliwa na watoto, watu wazima hawafatilii
4. Haya mashindano ni marufuku kuchezeshwa na refa mwenye beji ya FIFA, mara nyingi waamuzi ni local tu.
Mwamzi mkubwa kama Arajiga hawezi kumchezesha mechi ya shirikisho.
5. Makocha wao hawana CV kubwa, mfano coach wa mtani, alikuwa coach msaidizi yaani mpanga cone za mazoezini
6. Team za shirikisho hazina uweZo wa kupiga pasi hata 5, ni kubutua tu.
7. Mechi za shirikisho hazina hadhi ya kuoneshwa live kwenye TV, ndio maana mtani alifanya mazoezi huko Egypt kucheza kisiri
8. Jezi za wachezaji teams za shirikisho haziandikwi majina ya wachezaji, zinaandikwa tu namba
9. Viwanja vya shirikisho, vingi ni vibovu, ni marufuku Kwa mtani kucheza mechi ya shirikisho uwanja BW Mkapa stadium
10. Ni aibu team kubwa kucheza shirikisho