4s simply means 4 sylinder, as opposed to V6 na V8, na mara nyingi hizi 4s haizizidi cc 2000...,hivyo ndivyo ninavyoelewa, plz kama siko sahihi naomba unielewesheToka nizijuwe Suzuki sijawahi kusikia Suzuki 4s,labda ni toleo jipya hilo
Kwa uelewa wangu uliposema 4s nilidhani ulimaanisha ni 4s engine,coz kuna 3s na 1s, kama ulimaanisha hivyo basi upo sahihi mkuu na nimekuelewa4s simply means 4 sylinder, as opposed to V6 na V8, na mara nyingi hizi 4s haizizidi cc 2000...,hivyo ndivyo ninavyoelewa, plz kama siko sahihi naomba unieleweshe
Hizo sina uzoefu nazo, nina uzoefu na hizo za 4s ambazo kwangu Mimi ni the best car ever kwa mazingira yote.Haya nisaidie basi hiyo suzuki escudo grand V6 ya mwaka 2002, mapungufu na sifa zake.
Wanabodi, naomba msaada wa hiyo gari, nataka kujilipua na katika gari za juu, naiona hii itanifaa, by the.way nimewahi kumiliki suzuki escudo lakini ilikuwa 4S.Mwenye kuijua hii gari hasahasa mapungufu yake kwa mazingira yetu ya kibongo naomba msaada.
Ahsante kwa msaada wako kaka, escudo grand vitara napenda umbo lake, kubwa na size yake pia.Aisee Nina uzoefu na toleo la kwanza la Suzuki vitara 1994. Ilikuwa 4 cylinder. Nikuambie tu, hili gari ni kama mdogo wake land cruiser, yani bamba to bamba, halikwami. Naliitaga roho ya paka. Mafuta linakula kidogo kuliko Rav4. Ilikuwa 1600cc petrol.
Anyway haya magari majina yana confuse. Kuna Suzuki Escudo, Grand escudo, Vitara na Grand Vitara. Navyojua Grand zinakuwa kubwa zake. But hili ninalokuambia ni dogo but Lina grand vitara nyuma.
Conclusion, spare kupata kwa kipndi kile ilikuwa rahisi. 4wd is superb. Hata hizi toleo mpya zina sifa hizo hizo, linapopita range na wewe unapita. Sijajua why unataka la V6, unakaa kwenye milima? Hauitaji nguvu yote hiyo, sacrifice power for fuel efficiency.
-callmeGhost
Cheki mashine hiyo kaka.Aisee Nina uzoefu na toleo la kwanza la Suzuki vitara 1994. Ilikuwa 4 cylinder. Nikuambie tu, hili gari ni kama mdogo wake land cruiser, yani bamba to bamba, halikwami. Naliitaga roho ya paka. Mafuta linakula kidogo kuliko Rav4. Ilikuwa 1600cc petrol.
Anyway haya magari majina yana confuse. Kuna Suzuki Escudo, Grand escudo, Vitara na Grand Vitara. Navyojua Grand zinakuwa kubwa zake. But hili ninalokuambia ni dogo but Lina grand vitara nyuma.
Conclusion, spare kupata kwa kipndi kile ilikuwa rahisi. 4wd is superb. Hata hizi toleo mpya zina sifa hizo hizo, linapopita range na wewe unapita. Sijajua why unataka la V6, unakaa kwenye milima? Hauitaji nguvu yote hiyo, sacrifice power for fuel efficiency.
-callmeGhost
Gari yenyewe ndo hii.Wanabodi, naomba msaada wa hiyo gari, nataka kujilipua na katika gari za juu, naiona hii itanifaa, by the.way nimewahi kumiliki suzuki escudo lakini ilikuwa 4S.Mwenye kuijua hii gari hasahasa mapungufu yake kwa mazingira yetu ya kibongo naomba msaada.
Mwenye uzoefu na hii gari mdau aliyoweka picha tafadhali naomba msaada kabla sijapotea,, ulaji wa mafuta, comfortablity kwenye rough road, durability etc,
Nashukuru wakuu
Shalom!
Kwanza kabisa naomba nikufafanulie, ama nikufumbue macho.
Toyota Rush na Suzuki vinashabihiana mno, kwenye mambo mengi sana.
Japo kuna baadhi ya mambo , Suzuki inaizidi Rush.
Kubwa ikiwa ni hili la uhimili wa hali mbovu za barabara, Suzuki inahimili zaidi kushinda rush
Na ndani, Suzuki ina nafasi , zaidi kushinda Rush
Ulaji wa mafuta ni 8.5km/L
Hivyo, kwa uPnde wangu, sidhani ikiwa kama umefanya chaguo baya.
Wacha tusikie na wengine watasemaje, kama ujuavyo, kila mtu hujua kitu lwa sehemu. Hakuna anayejua kila kitu.