ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
Kusoma na kumalizana kupata cheti chako kizuri sio njia pekee ambayo itakuweka salama na kukuweka kwenye kundi la wasomi, haijalishi ni Certificate, Diploma, degree au Master.
Hii ni kutokana na wasomi wengi kutoonesha nini walicho nacho na kuishia kujidai na cheji. Vyeti vilivyo vingi vya wasomi wa elimu ya juu ni fake, Naweza sema ni wasomi kama sisi. Kama mtu hajasoma kama ulivyosoma wewe na anacheti kizuri kama ulichonacho wewe chenye kila vigezo kama chakwako. Huyu unamuweka kwenye kundi gani au unajitofautisha vipi na huyu mtu. Akili mkichwa.
Vijana tuamke tutumie tulichonacho kuikomboa jamii na si kujidaia elimu ya kwenye makaratasi.