Sifa ya kusoma degree ni mpaka uwe na ufauru wa masomo mangapi

Cut point ya 4 kwenye masomo mawili ya comb mfano una AFF
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1
S=0.5
F=0
Kwenye huo mlinganyo wa juu chukua masomo mawili yanayounda tahasusi yako uliyofaulu sana kuzidi mengine jumlisha ikija cut point 4 na kuendelea wewe ni chuo kikuu
5+0=5
Hyo ni cutpoint ya 5
Nb kunavyuo baadhi ya coz wanataka huwe na cutpoint ya 4 na kuendelea inayoundwa na principle pass 2 yaani kusiwe na f mbili kwenye comb yako
mlinganyo kwa wanaotokea kidato Cha 6 marekebisho wataweka wadau niniharaka zangu napita
 
Ahsante sana ndugu
 
Kwa mujibu wa TCU Unatakiwa uwe na cutoff point ya 4 na kuendelea lkn sharti uwe na minimum D mbili ndo una qualify direct entry.

Mfano . Ikatokea ume score AEE hapo utakuwa na cutoff point ya 7 ambayo ni above ya 4. But hutachaguliwa . Lkn mwenzako aliye score DDE atachaguliwa . 🙏🙏🙏
 
Sawa asante kwa kuongeza kitu
 
Kwa mujibu wa TCU Unatakiwa uwe na cutoff point ya 4 na kuendelea lkn sharti uwe na minimum D mbili ndo una qualify direct entry.

Mfano . Ikatokea ume score AEE hapo utakuwa na cutoff point ya 7 ambayo ni above ya 4. But hutachaguliwa . Lkn mwenzako aliye score DDE atachaguliwa . [emoji120][emoji120][emoji120]
Mzee nimemaliza six na watu wenye CEE na wote wapo chuo kikuu, hapo cha msingi masomo mawili yakupe point 4 basi.
 
Kwa mujibu wa TCU Unatakiwa uwe na cutoff point ya 4 na kuendelea lkn sharti uwe na minimum D mbili ndo una qualify direct entry.

Mfano . Ikatokea ume score AEE hapo utakuwa na cutoff point ya 7 ambayo ni above ya 4. But hutachaguliwa . Lkn mwenzako aliye score DDE atachaguliwa . [emoji120][emoji120][emoji120]
Hakuna utaratibu kama huo .
Muhusika anapaswa kuwa na Principal pass 2 zenye cutoff point ya 4.
Principal pass ni kuanzia E.

Mtu akiwa na C na E anakua anaqualify sio lazima apate principal pass inayoanzia D huo sio utaratibu uliotolewa na TCU labda chuo husika waweke wao ufaulu wanaotaka ila usiwe chini ya ule wa TCU.
Huyu mwenye AEE anacutoff point ya 6 sio Saba.
Cutoff point inachukuliwa kwenye masomo mawili ya Tahasusi sio matatu hivyo hapo anakua na A na E.

Ninao ushahidi wa watu wenye C na E na wamepata chuo.
 
Na huu ndo ukweli.
 
Mfano mtu ana ufaulu wa Division Three ya 16 ufaulu wake ni F,F,S,C ina maana hapo sijaqalifai
 
Kwa mujibu wa TCU Unatakiwa uwe na cutoff point ya 4 na kuendelea lkn sharti uwe na minimum D mbili ndo una qualify direct entry.

Mfano . Ikatokea ume score AEE hapo utakuwa na cutoff point ya 7 ambayo ni above ya 4. But hutachaguliwa . Lkn mwenzako aliye score DDE atachaguliwa . [emoji120][emoji120][emoji120]
Duuuh jamaa muongo wewe, kama na wewe ni msomi basi nchi inaweza kupata hasara.

Ulisoma maelezo kwenye guidebook ya TCU ndo ukaelewa hivyo, sio?

Sikia, ukiwa na C E unaingia chuo kikuu kiulaini kabisa, kwa sababu C ni principal pass na E pia ni principal pass, ambazo zinakuletea 4 good points.

Hivi nyie ndo mmeleta huu msemo wa " bila D mbili huwezi kuelewa"?
 
  • Thanks
Reactions: Vcf
Mfano mtu ana ufaulu wa Division Three ya 16 ufaulu wake ni F,F,S,C ina maana hapo sijaqalifai
Hivi 16 ni 3 au 4? Duuuh hatariii tupuu. Hata km ulisoma Science pure, wee ni mzembeee!!
 
Back
Top Bottom