Sifa ya mabinti wa facebook

Sifa ya mabinti wa facebook

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K

2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?»

3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype..

4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi anakuwa offline.

5. Kawaida yao huwa hawaanzi kukutafuta hewani hata kukupa Hi tu. Usipomtafuta ndo imetoka hiyo.

6. Wamejijengea mawazo kuwa kila mwanaume kwenye mtandao anatafuta mpenzi tu. Hawawazii hata urafiki wa dhati.

7. Wengi hawapendi maswali na hukaa kimya hata ukiwatext ila ukipost 2 picha ya mwanamke mwingine utaona anakufata inbox na kukwambia «msalimie mkeo»

8. Wanapenda sana kujifanya wako busy ila kutwa kucha yupo online.

9. Mnajuana leo kesho anakuomba elfu kumi ana shida nayo sana(maboya yanakamatwa)

10. Ukifanikiwa kupendwa na hawa mademu atakuja kwako kwa nauli yake ila kama we ndio umependa jipange tu kwa nauli.

11. Mwisho wanaamini hakuna mwanaume wa ndoa anayepatikana facebook(wote waharibifu tu)

Sasa najiuliza hivi kuna dunia inaitwa facebook? Kwamba watu waliomo humo si wa dunia hii. Huo ni mtazamo tu jaman msije mkanivika kibwebwe cha umbea..
 
Tulale kwanza, haya yatajadiliwa asubuhi ya saa nne, muda huu ni kutumikia kitanda na kwa wale walinzi kama Mimi ni muda kuhakikisha kazi zetu zipo salama [emoji3][emoji1787]
 
1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K

2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?»

3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype..

4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi anakuwa offline.

5. Kawaida yao huwa hawaanzi kukutafuta hewani hata kukupa Hi tu. Usipomtafuta ndo imetoka hiyo.

6. Wamejijengea mawazo kuwa kila mwanaume kwenye mtandao anatafuta mpenzi tu. Hawawazii hata urafiki wa dhati.

7. Wengi hawapendi maswali na hukaa kimya hata ukiwatext ila ukipost 2 picha ya mwanamke mwingine utaona anakufata inbox na kukwambia «msalimie mkeo»

8. Wanapenda sana kujifanya wako busy ila kutwa kucha yupo online.

9. Mnajuana leo kesho anakuomba elfu kumi ana shida nayo sana(maboya yanakamatwa)

10. Ukifanikiwa kupendwa na hawa mademu atakuja kwako kwa nauli yake ila kama we ndio umependa jipange tu kwa nauli.

11. Mwisho wanaamini hakuna mwanaume wa ndoa anayepatikana facebook(wote waharibifu tu)
Sasa najiuliza hivi kuna dunia inaitwa facebook..??
Kwamba watu waliomo humo si wa dunia hii...!
Huo ni mtazamo tu jaman msije mkanivika kibwebwe cha umbea..View attachment 1875772
Nilipataga mrembo facebook kitambo nasoma first year miaka kadhaa ishapita enzi hizo smartphone chache. Alijipendekeza mm nikamvuta akajaa alichoma nauli yake toka dar mpaka moshi nikamkulala siku 4 akaielewa show na vile yeye tayari alikua anafanya kazi akawa anahudumia mwanachuo mimi. Sema nilikuja kukaacha maana kanakunywa pombe kinoma na ilikua sijui kabla.
 
Taften pesa
145579585_202096668310589_709427862453915891_n.jpg
 
Back
Top Bottom