Sifa ya moyo tamaa

Sifa ya moyo tamaa

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Tuliza moyo wakooo
kubali mapungufu yakooo
Rahisisha mahitaji yakooo
Ongeza kipato chakoooooooo

Chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya...


wekeni verse najua huu wimbo unapendwa sana na wana JF
 
Hivi huu ni wimbo au shairi miwani imekaa vibaya leo
 
Hivi huu ni wimbo au shairi miwani imekaa vibaya leo
chorus ya nyimbo ya 20% inaitwa tamaa mbaya, hata hivyo hujakosea kwani nyimbo ni mistari ya mashairi na utunzi wowote wa nyimbo unaanzia kwenye shairi
 
Back
Top Bottom