funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,624 Reaction score 21,362 Jan 20, 2011 #1 Tuliza moyo wakooo kubali mapungufu yakooo Rahisisha mahitaji yakooo Ongeza kipato chakoooooooo Chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya... wekeni verse najua huu wimbo unapendwa sana na wana JF
Tuliza moyo wakooo kubali mapungufu yakooo Rahisisha mahitaji yakooo Ongeza kipato chakoooooooo Chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya... wekeni verse najua huu wimbo unapendwa sana na wana JF
Desidii JF-Expert Member Joined Oct 2, 2007 Posts 1,201 Reaction score 86 Jan 20, 2011 #2 Hivi huu ni wimbo au shairi miwani imekaa vibaya leo
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,624 Reaction score 21,362 Jan 20, 2011 Thread starter #3 Desidii said: Hivi huu ni wimbo au shairi miwani imekaa vibaya leo Click to expand... chorus ya nyimbo ya 20% inaitwa tamaa mbaya, hata hivyo hujakosea kwani nyimbo ni mistari ya mashairi na utunzi wowote wa nyimbo unaanzia kwenye shairi
Desidii said: Hivi huu ni wimbo au shairi miwani imekaa vibaya leo Click to expand... chorus ya nyimbo ya 20% inaitwa tamaa mbaya, hata hivyo hujakosea kwani nyimbo ni mistari ya mashairi na utunzi wowote wa nyimbo unaanzia kwenye shairi
Mkeshahoi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2009 Posts 2,469 Reaction score 284 Jan 20, 2011 #4 20%...nahc wimbo huu utaishi miaka mingi ijayo!!