Sifa ya mpenzi wangu

chagga land

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
394
Reaction score
95
Tupia kitu ambacho huwa ukikiangalia kwa mpenzi wako unacheka kimoyo moyo ili asijue.

Naanza mimi: "kiukweli mpenzi wangu ana bonge la chogo ila wigi ndo huwa linafunika chogo lisionekane".
 
Me wangu pua hata sicheki kimoyomoyo, mwenyewe anajua kama namcheka
 
Na wewe unachekwa kwa kumcheka mleta mada.
 
Mapenzi huwa ni upofu kweli. Demu wangu ana zinga la domo, mwenyewe nikaona ana lips murua juicy lips kumbe mapenzi mpaka nimekuwa mpofu.

Kuna jamaa alisoma nae aliniambia walikuwa wanamuita Domo msakumba au Domo benzi.

Mapenzi haya!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…