ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Labda itokee Angalau mchezaji awe mzuri kweli Kweli .... Lakini kuwa na mchezaji wa kiwango cha kawaida tu halafu mfupi sana mmh ifikie Mahala swala la physical appearance na skills yote yaangaliwe kama miongoni qualification zamchezaji kuitwa Timu ya Taifa