Hatuwezi tukaendelea kimichezo hasa mpira wa miguu pasipo kuwekeza kwenye shule za Michezo( acadamy) , kama tuna nia ya kweli kukuza michezo Tff na serikali waanzishe shule za michezo kila mkoa ili kupata Wachezaji wa aina tofauti katika vipaji, maumbo na vitu vingine vya msingi, kuliko hivi sasa wachezaji wengi wanatoka mijini tu na Hawana mbinu za kisasa za mpira.