Sifa za ""chabo"" nini nini??wapendwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Pengine unaweza kumsaidia mwenzio kufaidika ama kuacha na na haka katabia..haka katibia kako hasa kwenye nyumba za kupanga na mavyuoni..sipendi kwenda mbali binafsi naka hate sana lakini naona idadi inaongezeka so najiuliza pengine kanaweza kuwa msaada kwa wengine amakama kabaya tupatieni maelezo jinsi ya watu kuacha haka katabia chakuchunguliana wakati mwenzio akaifanya tendo landoa/uzinzi
nakumbuka vyuoni hasa mlimani haka katabia ndio kamesheni kama mashabiki wa yanga..sasa kamehamia kwenye wapangaji hivi mnafurahia nini kuona mwenzenu akiteswwa ama kusulubiwa..jamani kwenye kitanda nakama kuna manufaa embu tusaidie pengine tunayamiss

weekend njema

WARNING
DONT CHABO THE CHABOLIST YOU WILL BE CHABODE TOO
 
ukianza hako kamchezo kuacha ni kazi, walio advanced imefikia hatua wanatumia darubini kabisa. Chabo asilia yake ni Coventry place huko England, na wapiga chabo kule wanaitwa pipinton
 
aiseeeeeeeeeeeeeeee duh mkuu ungekuwamhadhiri wa UDSM ungewaokoa vijana wengi sana nahisi ungeteneza somo la hiki kipindi waathirika kule ni wengi sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…