mkuzi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2013 Posts 1,627 Reaction score 1,459 Sep 6, 2013 #1 Naomba kupata mawazo ya wana jf juu ya kuwa na daktari wa familia,je ni sifa zipi awe nazo?je awe kijana au wa makamo ,awe mwanamke au mwanaume na faida na hasara zao ni zipi?
Naomba kupata mawazo ya wana jf juu ya kuwa na daktari wa familia,je ni sifa zipi awe nazo?je awe kijana au wa makamo ,awe mwanamke au mwanaume na faida na hasara zao ni zipi?
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Sep 6, 2013 #2 Mimi naona awe mtu wa makamo,mwenye kujiheshimu ,mwenye nidhamu na mshika dini