Sifa za hii gari "Toyota Sienna"

Sifa za hii gari "Toyota Sienna"

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,662
Reaction score
3,715
Hii gari naiona nzuri sana, kwanza ni gari kubwa sana, na ina muonekano mzuri. Lakini najiuliza kwanini sio gari maarufu, hasa hapa bongo.

Je zina sifa gani hizi gari? Kwanini watu hawazichangamkii sana?

74f9d9351b7ebb391c7471588026f112.jpg

c140502c44cb8c31f6861ea8b1dbbd99.jpg

c37d17cb9ffb82545000dd38670b8544.jpg

02630040093f3da1f19c4761f201c185.jpg

e450b400d0acd2e596f48b7ac2257b93.jpg

d91869534d530fb87357a7ef35519f16.jpg
 
Hizi gari zipo Kwa wingi USA na zinatengenezwa huko
 
Cc 3500 si bora ununue canter ibebe tofali ilete hela.

Wabongo hawaiwezi hizo gari za cc nyingi hivyo ndio maana hazijazagaa mjini. Ingekuwa at least 1.8 ltrs ungeona wanavyoligombania kama zile Alphard zipo kibao sahivi.
 
Kweli mkuu
 
mara nyingi kwa upendeleo wangu, gari ikiwa na siti nyingi hivyo huwa napenda iwe imepanda, isiwe chini hivyo. hiyo ni nzuri kwa familia, ila ingekuwa juu, haingejalisha cc, ingekuwa bora sana kwa safari kubeba familia yote kwenda nayo kijijini kusalimia wazazi kipindi cha sikukuu.
 
Back
Top Bottom