yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Mkuu inanivutia sana hii gari. Nikijaliwa nitainunuaga. Ila bongo siyaoni kabisaHilo wadogo zake kina ipsum, gaia, fielder, wish na cousin wao isis ndio tunawashobokea
Ila unaionaje mkuu. Maana mimi inanivutia sana. It's about to be a car of my dreamHizi gari zipo Kwa wingi USA na zinatengenezwa huko
Hapo kweli ndo pagumu. 3500cc ni kifaruHizi gari ni 3500cc kama una bajeti ndogo kimbilia Toyota fielder 1490cc. Usije nunua ukaishia kuipaki.
Kweli mkuuCc 3500 si bora ununue canter ibebe tofali ilete hela.
Wabongo hawaiwezi hizo gari za cc nyingi hivyo ndio maana hazijazagaa mjini. Ingekuwa at least 1.8 ltrs ungeona wanavyoligombania kama zile Alphard zipo kibao sahivi.