mwanike wa ukaya
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 115
- 79
Mkuu samahani,hivi unafanya kazi gani?Mkuu huna hata uzalendo na nchi yako
Embu jikite kwenye mada husika, we nikikwambia nafanya kazi gani au sifanyi itakusaidia nini..Mkuu samahani,hivi unafanya kazi gani?
Mkuu Tanzania...SEX tumesingiziwa..!! Mbona tuna idadi ndogo ya WATU...!?Marekani-siasa,muziki,teknolojia na maendeleo
Uingereza-mpira,masumbwi,starehe
China-kuzaliana,teknolojia,maendeleo
Japan-maendeleo,teknolojia, viwanda
Tanzania-sex,uoga,uzembe,ulalamishi,majungu,kiswahili kingi
Wajuzi ntapenda muongezee hapa
Nawasilisha.
Mkuu bado niko na wewe...Embu jikite kwenye mada husika, we nikikwambia nafanya kazi gani au sifanyi itakusaidia nini..
Focus kwenye mada mimi niache tu..Asante
watu wana visa balaa..Mkuu bado niko na wewe...
Ana wivu wa KIKE huyo..