Mimi naamini Kiongozi hayupo ktk makaratasi.
Kiongozi ni toka ulivyozaliwa mwonekano na utendaji, tabia njema nk, Leo hii mkitaka makaratasi wapo kibao lakini uwezo na uweledi wa mtu kuwa Kiongozi haupo. Ndo hao sasa wasomi wazuri tu kazi wamepata nzuri tu, uadilifu hawana!!!!!
Hapa NEC ijipange kuwa ndo watakao simamia mchujo kwa Wagombea uongozi.
Sasa hivi mtu mradi tu MTZ kagombee huko CV ya mtu chafu kuliko ndo anakuwa mbunge nia aibu