Sifa za kuitwa mtaalamu

Sifa za kuitwa mtaalamu

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977
Kama ni msomaji wa jukwa la siasa unaweza shangazwa na wachangiaji wanaojiita wasomi wakipinga PhD’s za watu wasio wakubali.

Issue za ovyo kwangu kwenye huu upingaji ni kuhusu hizi PhD za social science.

Hivi unajiuliza what is so special kwenye kuandika five chapters za hizo thesiskwa mtu ambae aliesoma na akafaulu vizuri kwenye elimu za awali.

Provided you have an idea surely you can write a Phd thesis the research skills required ni zile zile za kuanzia A level.

Hili ndio swala ambalo silielewi kwanini kuwa na Phd Tanzania ni big deal.

Mtaalamu ni mtu ambae sio tu amesomes field fulani, bali amefanya research ya eneo husika ameandika. extensivel on the matter, au amefanya kazi kwenye sector husika kwa muda mrefu na ameshiriki kuiboresha.

Mambo ni mengi ila kuna upuuzi unasoma humu, unabaki na hawa jamaa aisee shida tupu.

Yaani Phd ndio lazima awe mjuaji, wakati unakuta hilo jinga alitambulisha idea mpys yoyote duniani.

Nyie watu mnasikitisha kwenye interpretation za nini maana ya kuwa academic.

Mfano wewe sio mwanasheria kwa sababu tu ya kusoma sheria duniani; you have to practice law mahakamani ndio uitwe mwanasheria.

Ni vitu vigumu kumeza lakini lazima mkubali pia kukubali upuuzi wenu to meet international standard; you people are just a bunch of ignorants on so many fronts.

Huo ndio ukweli wenyewe; and you will be disadvantaged mkikutana na mabeberu ambayo trained kwenye majadiliano.

Hamna huo uwezo kwa kuwasoma watu tu
 
Huo ndio ukweli wenyewe; and you will be disadvantaged mkikutana na mabeberu ambayo trained kwenye majadiliano.

Hamna huo uwezo kwa kuwasoma tu
Umechanganya sana.

Ni wazi kabisa, kutokana na andiko hili, siyo tu kwamba hiyo Ph.D. huna, na nina hakika hata Masters huna uwezo nayo, na pengine Bachelors tu toka chuo chenye heshima nayo ni shida kwako.

Sasa tueleze, shida yako ni nini hasa?

Hata kutumia mfano mwepesi tu ili ueleweke kirahisi hujui?

Umeanza na kichwa cha mada kisemacho: "Sifa za kuitwa mtaalam."

Hiki kinahusiana vipi na hayo uliyopoteza muda mwingi sana kuyaeleza humo ndani ya mada?

Niseme tu, ku'critic' andiko lako lote ni kupoteza muda, kwa sababu haliko 'focused', na hili linatokana na upungufu wa uelewa wako wa jambo husika.

Huna uwezo wa kulieleza watu wakakuelewa unataka watu waelewe nini.

Nenda karekebishe andiko, kama unao uwezo.
 
Nina matatizo mawili kwenye maisha kwenye maisha yangu kwa muda mrefu.

1. Ni mvuta sigara siipendi hii tabia na ndio vita yangu number moja ya kuacha hii tabia

2. JF addiction kushiriki kwenye huu upuuzi wa hii mijadala na vilaza kama nyie.

3. Tatu imebidi nicheke tu. JF atujuani na sina sababu ya kujielezea. Hila amini usiamini mimi nafyatua report ya degre ya yoyote ya social science na dissertation mpaka Phd kama unaweza nilipa.

Usiniambie mambo ya kijinga tafadhali, unaweza kuona utani nafyatua kweli huo upuuzi ndio fixer ninaejulikana huku mtaani kweli.

Kwa sasa nimeachana na huo upuuzi; lakini social science thesis naibetua dakika moja tu; ndio maana nawashangaa mkiangaika. na hizo Phd rahisi.
 
Mfano wewe sio mwanasheria kwa sababu ya kusoma sheria duniani; you have to practice law mahakamani ndio uitwe mwanasheria.
Mwanasheria ni mtu yoyote aliyesomea sheria, ila ku practice ndio lazima uwe wakili, na hata ukiwa wakili sio lazima ku practice mahakamani, kuna law firms kibao hawafanyi litigations na hawaendi mahakamani!. Legal issues zina so many fronts na sio issues za mahakamani only.
P
 
Sasa Mwigulu hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi pamoja na PhD yake, muda mwingi ameutumia kwenye siasa na kufanya kazi BOT kwa muda mchache.

Je, tunamuweka kundi gani?
Duh...!, kiukweli Tanzania kazi ipo!. Hivi hujui taasisi za fedha na uchumi uko chini ya waziri gani?!.
Kazi tunayo!.
Waziri wa Fedha ndio mchumi No. 1 Tanzania!, BOT iko chini yake!.

Nifahamu Ila nimeuliza tuu,kwa vigezo vya kumwita mtu Mtaalamu kwa mujibu wa mtoa mada, Mwigulu anaangukia kundi gani.Maana kasema ili uitwe mwanasheria siyo kusomea tu bali lazima uwe una-practice law mahakamani!
 
Mwanasheria ni mtu yoyote aliyesomea sheria, ila ku practice ndio lazima uwe wakili, na hata ukiwa wakili sio lazima ku practice mahakamani, kuna law firms kibao hawafanyi litigations na hawaendi mahakamani!. Legal issues zina so many fronts na sio issues za mahakamani only.
P
Mkuu!! Vip kuhusu legal officer? Je Wana practice sheria.
 
Sasa Mwigulu hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi pamoja na PhD yake, muda mwingi ameutumia kwenye siasa na kufanya kazi BOT kwa muda mchache.

Je, tunamuweka kundi gani?
Sifa za elimu ziko objective hazitafsiriwi subjectively. Pili unapotaka kujadili jambo lolote kwanza weka chuki pembeni au unazi wa kumshabikia mtu. Mtu yeyote mwenye elimu ngazi fulani toka taasisi inayotambulika hicho ni cheti halali. suala la kudeliver kutokana na mtu kuwa na elimu au ujuzi fulani hiyo ni jambo lingine.

Sio lqzima kila aliyehitimu apublish paper, wahadhiri ndio wanaobanwa na nature ya kazi zao kupublish paper. Eneo la kitaalamu ni pana ila linapokujq suala la utendaji inategemea mtu ameajiriwa kufanya nini na anapimwa kwa hicho alichofanya sio taaluma yake pana ameitendea nini. Mfano kuna mqdaktari wanatibu, kufanya operesheni miaka nenda rudi lakini hawapublish. Ukiajiriwa serikalini unaandika report kqdhaa za kazi unayotumwa,kufanya lakini huruhusiwi kuzipublish hizo report, sasa mtu kama huyo unaweza kulaumu mbona hajapublish.

Pili sio lazima kila .msomi duniani agundue idea mpya au ugunduzi mpya ndio awe msomi. Ukiwa msomi sifa ya kwanza inatakiwa uweze kuutafuta ukweli what is right and what is wrong. Na mara nyingi kazi za wasomi wa awali ndio msingi wa kazi mpya za wasomi ndio maana lazima msomi aangalie nyuma wenzake waliwahi kusema nini kuhusu jambo hilo ambalo yeye anajaribu kuleta idea mpya au kuongeza knowkedge frontier.
Wasomi wa Tanzania wanadharaurika kwa sababu wengi ( nakisia zaidi hata ya 70%) wanaongozwa na tumbo katika kufanya kazi ya kitaalamu ndio maana wengi ukiwapima na darasa la saba unaona afadhali darasa la saba., fikiria kwa,mfano yule mtu aliyezuia marubani wale wasiokolewe na akasababisha wakafa kwa kumzuia yule kijana kuvunja dirisha, mtu kama huyo usomi wake ni wa makaratasi.
 
Mwigulu amesoma shahada ya uchumi.

Madai yake ana master na Phd thesis za uchumi.

Maana yake ni nini? kuna topics/ideas ambazo kaziabdia thesis.

Sasa ili umwite mtaalamu inabidi ujue kaaandikia nini and he can defend his. argument. Ana maandiko mengineo yanayokuwa referenced kuhusu hoja zake

Otherwise ni normal Phd mtu yeyote mwenye idea (doesn’t have to be a new idea) na uelewa wa kufanya research can produce a perspective.

Binafsi sielewi kuna ugumu gani wa kuandika Phd thesis.
 
Sasa Mwigulu hajawai ku-practice taaluma yake ya Uchumi pamoja na PhD yake, muda mwingi ameutumia kwenye siasa na kufanya kazi BOT kwa muda mchache.

Je, tunamuweka kundi gani?
Kwenye siasa amekuwa exposed na wachumi wa kweli na kujaribu kumpika kwa nafasi ambazo CCM zilizomuandalia kutokana na degree yake ya uchumi.

Lakini jamaa ni kiazi tu ambae mambo mengi anajifunzia wizarani.

Hana huo uwezo.

Wachumi serious walikuwa Marehemu Mgimwa na kwa sasa Dr Kimei. Hila kwa huyo Mwigulu hana anolijua isipokuwa upuuzi wetu tu wa kudhani Phd ni something special.

Phd ya bongo kwa mie naiftua kupitia google. Like seriously given the opportunity ya kuandika thesis ata Harvard yaani uwezi kuandika thesis ya social science; I don’t get huo ugumu huko wapi.
 
Sasa mtaalamu ni nani.

Mtaalamu ni mtu ambae amefanya research na ame andika extensively on the subject.

Kuwa na degree akukufanyi kuitwa mtaalamu.

Mtaalamu sio mtu wa ovyo ovyo.

Kasirikeni ila viwango vya ujinga kwenye kipaisha wajinga wajinga pia vinatuchosha.

Eti Dr Mwigulu (pathetic).
 
🤣🤣🤣
 
Nina matatizo mawili kwenye maisha kwenye maisha yangu kwa muda mrefu.

1. Ni mvuta sigara siipendi hii tabia na ndio vita yangu number moja ya kuacha hii tabia

2. JF addiction kushiriki kwenye huu upuuzi wa hii mijadala na vilaza kama nyie.

3. Tatu imebidi nicheke tu. JF atujuani na sina sababu ya kujielezea. Hila amini usiamini mimi nafyatua report ya degre ya yoyote ya social science na dissertation mpaka Phd kama unaweza nilipa.

Usiniambie mambo ya kijinga tafadhali, unaweza kuona utani nafyatua kweli huo upuuzi ndio fixer ninaejulikana huku mtaani kweli.

Kwa sasa nimeachana na huo upuuzi; lakini social science thesis naibetua dakika moja tu; ndio maana nawashangaa mkiangaika. na hizo Phd rahisi.
Katika yote uliyoandika hapa, ni moja tu ndilo umekuwa mkweli juu yake. Hiyo namba moja uko sahihi kabisa.

Kwa hiyo, sina sababu tena ya kuendelea kujibishana na wewe.
 
Back
Top Bottom