Inategemea unajiunga kama professional ama elimu ya kawaida......Kama elimu ya kawaida usizidi miaka 25 na kama professional miaka yeyote,usiwe na ulemavu wa aina yeyote ikiwemo kuwa na kitovu kikubwa,kutokuwa na uvungu kwenye mguu(miguu flat haitakiwi-huwa haiwezi mazoezi makali),matege,BP ,Kifua,na usiwe umetumiwa nyuma(*******).