sifa za kujiunga na grade a

sifa za kujiunga na grade a

uteu

Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
38
Reaction score
7
msaada wenu wadau nina ndugu amemaliza form four kapata four ya 31 kasikia tetesi serikali imetoa ofa kwa baadhi ya vyuo kikiwemo katoke bukoba mwisho div 4 ya 35 mda wa mafunzo ni miezi 6 tu kuna ukweli wowote naomba mnijuze wadau
 
tumia gugo ila hilo la miezi sita sidhani kama lina ukweli wowote
 
Back
Top Bottom