U uteu Member Joined Apr 16, 2014 Posts 38 Reaction score 7 May 13, 2014 #1 msaada wenu wadau nina ndugu amemaliza form four kapata four ya 31 kasikia tetesi serikali imetoa ofa kwa baadhi ya vyuo kikiwemo katoke bukoba mwisho div 4 ya 35 mda wa mafunzo ni miezi 6 tu kuna ukweli wowote naomba mnijuze wadau
msaada wenu wadau nina ndugu amemaliza form four kapata four ya 31 kasikia tetesi serikali imetoa ofa kwa baadhi ya vyuo kikiwemo katoke bukoba mwisho div 4 ya 35 mda wa mafunzo ni miezi 6 tu kuna ukweli wowote naomba mnijuze wadau
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 6,736 Reaction score 10,669 May 13, 2014 #2 tumia gugo ila hilo la miezi sita sidhani kama lina ukweli wowote