Sifa za kupata mkopo CRDB

Sifa za kupata mkopo CRDB

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Jamani eeeh! Nawasalimu. Niko mbali sana na tawi lolote la CRDB ili nikaulize, so naomba msaada kwa anayejua hili.

Nimeajiriwa ajira ya ualimu mwaka huu, nahitaji kuchukua mkopo CRDB. Je, nitakuwa na sifa za kukopesheka kwa kipindi hiki cha miezi mitatu kazini?
 
Mkuu vumilia kwanza mpaka uwe comfirmed kwenye hiyo ajira yako ya kudumu. Si unajua kuwa katika kila mkataba wa ajira kuna probation period which is actually a year, thereafter utapewa comfirmation letter.
Hapo ndo utakuwa eligible kukopa mkuu wangu.
 
Nimekusoma mkuu wangu
 
CRRB Kuna udini sana kutoa mikopo. Ni banki yenye asset kubwa kutokana na kupigwa tough na TRA lakini waangalia dini ya mtu kutoa mikopo.
Hata Social Responsibility wana base kwenye taasisi za kikiristo tu.
Nilishafunga account zangu mapema na jamaa wengi tu
 
Aiseee!!?
 
Kakope kwenye ile benk inayo tumia sharia ambao hawana riba huku 2tapigizana kelele buree
 
Haihusu na sharia au convection.
Point ni wabaguzi sana.pesa wanazitaka ila service wataangalia dini ya mtu.
Inachotakiwa ni kubadilika. Hii ni kwa faida yao pia
 
CRRB Kuna udini sana kutoa mikopo. Ni banki yenye asset kubwa kutokana na kupigwa tough na TRA lakini waangalia dini ya mtu kutoa mikopo.
Hata Social Responsibility wana base kwenye taasisi za kikiristo tu.
Nilishafunga account zangu mapema na jamaa wengi tu
Wewe huna sifa yeyote ya kupata mkopo,umekosa sifa stahiki unasingizia udini!
 
Haihusu na sharia au convection.
Point ni wabaguzi sana.pesa wanazitaka ila service wataangalia dini ya mtu.
Inachotakiwa ni kubadilika. Hii ni kwa faida yao pia

We muongo wa mchana kweupe....Tz hatujafikia stage hiyo ya udini, kuna kitu ulifanya tu ukanyimwa sio dini yako.
 
Maneno ya udini na ukabila ni yakipuuzi aisee shame up on ninyi.Bado haujakizi vigezo unaweza husizitishwe kazini bt unamwaka mmoja kazini unakuwa na kigezo cha kupata mkopo.But navyohisi unataka mkopo na hlfu ukimbie kazini wewe.
 
Mkuu vumilia kwanza mpaka uwe comfirmed kwenye hiyo ajira yako ya kudumu. Si unajua kuwa katika kila mkataba wa ajira kuna probation period which is actually a year, thereafter utapewa comfirmation letter.
Hapo ndo utakuwa eligible kukopa mkuu wangu.

Kama si mfanyakazi wanaweza kukupa mkopo kwa dhamana ya kitu kisichohamishika
 
Back
Top Bottom