Jamani eeeh! Nawasalimu. Niko mbali sana na tawi lolote la CRDB ili nikaulize, so naomba msaada kwa anayejua hili.
Nimeajiriwa ajira ya ualimu mwaka huu, nahitaji kuchukua mkopo CRDB. Je, nitakuwa na sifa za kukopesheka kwa kipindi hiki cha miezi mitatu kazini?
Nimekusoma mkuu wanguMkuu vumilia kwanza mpaka uwe comfirmed kwenye hiyo ajira yako ya kudumu. Si unajua kuwa katika kila mkataba wa ajira kuna probation period which is actually a year, thereafter utapewa comfirmation letter.
Hapo ndo utakuwa eligible kukopa mkuu wangu.
CRRB Kuna udini sana kutoa mikopo. Ni banki yenye asset kubwa kutokana na kupigwa tough na TRA lakini waangalia dini ya mtu kutoa mikopo.
Hata Social Responsibility wana base kwenye taasisi za kikiristo tu.
Nilishafunga account zangu mapema na jamaa wengi tu

Kakope kwenye ile benk inayo tumia sharia ambao hawana riba huku 2tapigizana kelele buree
Wewe huna sifa yeyote ya kupata mkopo,umekosa sifa stahiki unasingizia udini!CRRB Kuna udini sana kutoa mikopo. Ni banki yenye asset kubwa kutokana na kupigwa tough na TRA lakini waangalia dini ya mtu kutoa mikopo.
Hata Social Responsibility wana base kwenye taasisi za kikiristo tu.
Nilishafunga account zangu mapema na jamaa wengi tu
Haihusu na sharia au convection.
Point ni wabaguzi sana.pesa wanazitaka ila service wataangalia dini ya mtu.
Inachotakiwa ni kubadilika. Hii ni kwa faida yao pia
Mkuu vumilia kwanza mpaka uwe comfirmed kwenye hiyo ajira yako ya kudumu. Si unajua kuwa katika kila mkataba wa ajira kuna probation period which is actually a year, thereafter utapewa comfirmation letter.
Hapo ndo utakuwa eligible kukopa mkuu wangu.